Jeremiah 6:7


7 aKama vile kisima kinavyomwaga maji yake,
ndivyo anavyomwaga uovu wake.
Ukatili na maangamizi yasikika ndani yake,
ugonjwa wake na majeraha yake viko mbele yangu daima.
Copyright information for SwhKC